Stori zilizotoka mtandaoni ni kuwa wachezaji wa klabu ya Manchester United wameamua kumtunga jina kocha wao raia wa Uholanzi Louis van Gaal, wachezaji wa Man Unitedwamempa jina kocha wao la “Daisy” kutokana na tabia yake ya kuendesha gari taratibu akiwa anawasili katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo Carrington na kukwepa vishimo vidogo vidogo. CHANZO: MILLARDAYO.COM |
No comments:
Post a Comment