![]() |
| Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiongoza kikao cha kwanza cha Bunge hilo jana mara baada ya kuchaguliwa na wabunge. |
![]() |
| Mbunge Andrew Chenge akila kiapo cha Uaminifu cha Ubunge. |
![]() |
| Mbunge Mary Nagu akila kiapo. |
![]() |
| Mbunge Richard Ndassa akila kiapo. |
![]() |
| Mbunge wa Kuteuliwa Dkt. Tulia Ackson akila kiapo. |
![]() |
| Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Upendo Peneza akila kiapo. (Picha zote na Hussein Makame). |






No comments:
Post a Comment