Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo jana na kuwafariji wagonjwa. |
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa akina mama aliyelazwa na mtoto wake katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi. |
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akiondoka katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafla kujionea hali halisi. |
No comments:
Post a Comment