DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, November 10, 2015

OBAMA ATANGAZA RASMI KUJIUNGA NA FACEBOOK

Hazijapita siku nyingi tangu Rais wa Marekani, Barack Obama atangaze kwamba anaanza rasmi kuisimamia mwenyewe akaunti yake ya Twitter…. hiyo stori nakumbuka iligusa vichwa vya habari kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani katikati ya mwezi Mei 2015, unajua kwamba kumbe Rais Obama hakuwa anatumia Facebook kabisa!!
Saa chache zilizopita Rais Obama ametangaza kuanza kuutumia mtandao wa Facebook ambapo kautambulisha ukurasa wake anaotumia, na post ya kwanza aliyoweka ina ujumbe wake kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira. CHANZO:MILLARDAYO.COM

No comments:

Post a Comment