Kuanzia leo Machi 10, 2014 KwanzaJamii Radio ambayo
inasikika kupitia MjengwaBlog itakuwa ikiwaletea taarifa ya habari kuanzia saa 11:30
jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Pia inasikika kupitia
http://ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio (Picha na habari hii ni kwa hisani ya MjengwaBlog).
|
No comments:
Post a Comment