DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, March 10, 2014

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA MALAYSIA YAPOTE IKIWA NA ABIRIA 239

Pichani ni ndege aina ya Boeing 777 ya Shirika la Ndege la Malaysia ikiwa angani siku ya Jumamosi asubuhi katika bahari ya kusini mwa China kabla ya kupotea muda mfupi baadae. Ndege hiyo yenye abiria 239 imepotea wakati ikisafiri kutoka mji mkuu Kuala Lumpur kwenda Beijing. Bado haijafahamika nini kimesababisha ndege hiyo kupotea.

No comments:

Post a Comment