Amiri Jeshi
Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa aliyewahi kuwa Mkuu wa Kitengo cha Maafa katika Ofisi ya Waziri
Mkuu Meja Jenerali Bakari Shaabani huko Ada Estate jijini Dar es Salaam
jana. Marehemu amezikwa nyumbani kwao huko Unguja Zanzibar Jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Maafa Meja Jenerali Bakari Shaabani nyumbani
kwake Ada Estate jijini Dar es Salaam jana. Mwili huo ulisafirishwa jana
kwenda Zanzibar na kuzikwa.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Meja Jenerali Bakari Shaabani nyumbani
kwake Ada Estate jijini Dar es Salaam jana.
|
Monday, March 10, 2014
RAIS KIKWETE ASHIRIKI KWENYE MSIBA WA MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment