DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Sunday, October 19, 2014

AZAM FC MBABE WA MBEYA CITY YAILAMBISHA 1-0 NYUMBANI

Kikosi cha timu ya Azam FC kilichowalambisha Mbeya City bao 1-0 katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya jana.
Kikosi cha Mbeya City kilichokubali uteja wa kufungwa mara mbili mfululizo na timu ya Azam ya Jijini Dar es Salaam.


Baadhi wa mashabiki na wapenzi wa Mbeya City ya Jijini Mbeya wakishuhudia timu yao ikibugizwa nyumbani bao 1-0 na Azam FC mtanange uliochezwa katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini humo.

No comments:

Post a Comment