DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, October 10, 2014

KONE: SINGIDA YAPAA KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Parseko Vicent Kone akitoa taarifa ya shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na serikali mkoani humo kwa waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibuni.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan.
Jengo la utambuzi wa Magonjwa katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
Jengo la OPD katika Hospitali Mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Singida.

No comments:

Post a Comment