DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, October 17, 2014

MENEJA WA T.I ATINGA DAR KUSHUHUDIA MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA 2014

Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Jonson Geter (wa kwanza kushoto) akiwa ndani ya Viwanja vya Leaders tayari kushuhudia maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho kutwa katika viwanja hivyo. Katikati ni mmoja wa jamaa zake aliyoambatana nao kutoka Marekani na kulia ni Mtangazaji wa Clouds TV Shadee.
Sehemu ya mbele ya jukwaa hilo itakavyokuwa mara baada ya shughuli nzima ya kujenga jukwaa hilo kukamiika.
Baadhi ya vifaa vinavyotumika kuunganisha jukwaa hilo vikiwa chini wakati mafundi wakiendelea na kazi ili kuhakikisha mambo yanamalizika kabla ya siku ya shoo kufikiwa. Picha zote ni kwa hisani ya Globalpublishers.Inf0


No comments:

Post a Comment