DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, October 13, 2014

SITI MTEMVU AIBUKA REDD'S MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Siti Abbas Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano lililoshirikisha warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Siti Mtemvu ametwaa taji hilo lililokuwa likishikiliwa na Happyness Watimanywa.
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014, Siti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu, Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi jana kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa kwanza Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Redd's Miss Tanzania aliemaliza muda wake, Happiness Watimanywa akimvisha taji, Redd's Miss Tanzania wa sasa, Sitti Mtemvu.


Onesho la ufunguzi...
Vazi la ufunguzi...

Watazamaji na wanahabari wakifuatilia shindano...
Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo.

Wadau kwa nyuso za bashasha wakifuatilia shindano
Hatua ya 15 bora

Hii ilikuwa tano bora


Majaji wakifanya kazi yao...



Wazazi wa familia ya Miss Tanzania 2014. Picha zote na Othman Michuzi. 

No comments:

Post a Comment