DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Thursday, October 09, 2014

KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAKABIDHIWA KWA JK

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akikabidhi  Katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua juu  Katiba inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Rais jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Alli Mohamed Shein wakionesha Katiba hiyo iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Mabadiliko ya Katiba.


No comments:

Post a Comment