Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija,
wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2014. |
No comments:
Post a Comment