Meli ya Carnival Magic ya Marekani (Picha na Maktaba).
Meli ya Carnival Magic ya Marekani imezuiwa kutia nanga katika kisiwa cha Mexico cha Cozumel ikihofiwa kuwa na mgonjwa wa Ebola.
Meli hiyo
iliondoka katika jimbo la Texas ikiwa na mhudumu mmoja wa afya ambaye
alikuwa amehudumia sampuli za mgonjwa wa ebola marehemu Thomas Duncan
aliyeaga dunia kutokana na ugonjwa huo. |
No comments:
Post a Comment