ROSE MUHANDO ATOKA NA 'JIWE' NDANI YA "YESU KUNG'UTA (WOLOLO)
Msanii maarufu wa Injili nchini Rose Muhando aliyewahi kutamba na nyimbo kama Nibebe, Moyo Wangu, Yesu Nakupenda na nyingine nyingi ametoa wimbo mpya unaojulikana kama 'JIWE' kutoka kwenye santuli yake mpya inayoitwa 'Yesu Kung'uta".
No comments:
Post a Comment