DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Wednesday, October 15, 2014

MIAKA 15 BILA MWALIMU JULIUS K. NYERERE



Menejimenti ya DomLand Blog na wadau wake wote tunaungana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Familia ya Marehemu na Watanzania wote katika kuadhimisha kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa la Tanzania, Julius K. Nyerere. "Tudumishe Amani, Upendo na Mshikamano-Tanzania ni Sisi, Mimi na Wewe"

No comments:

Post a Comment