KINANA AENDELEA KURINDIMA NYANDA ZA JUU KUSINI, AFUNIKA MUFINDI JANA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana, Oktoba 9, 2014 kwenye Uwanja wa Mashujaa, mjini Mufindi akiwa
katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama
mkoani Iringa.
Kinana akisalimiana na Mbunge wa Mufindi
Kusini Menradi Kigola wakati wa mapokezi hayo. Kulia Katibu wa CCM
wilaya Mufindi Mtaturu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea saluti ya Vijana wa CCM alipowasili wilayani Mufindi mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment