DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, October 31, 2014

CCM YAIPONGEZA FRELIMO KWA USHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU MSUMBIJI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape alieleza kuwa CCM imepokea kwa furaha kubwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Msumbiji Oktoba 15, 2014 kwa kuwa CCM na FRELIMO ni vyama ndugu vyenye historia moja na ya pamoja ya Ukombozi Kusini mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment