Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya pati ya kuitambulisha
video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila
sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu aitazame… ni video
ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita…. ukishaitazama acha
na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae ajue mashabiki zake
wanasemaje. |
No comments:
Post a Comment