Kama ulikuwa hujui, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi- CCM Dkt. Jakaya Kikwete safari ya kwanza kukitumikia chama aliianzia ndani ya mkoa wa Singida.
Kwenye picha hiyo hapo juu, ni jana akiwa Singida kasimama mbele ya nyumba alimoishi mwaka 1975 akiwa Katibu Msaidizi wa TANU. |
No comments:
Post a Comment