DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, February 05, 2016

UBELGIJI YAENDELEA KUWA KINARA VIWANGO VYA BORA FIFA

Ubelgiji imeendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora vya FIFA kwa mujibu wa viwango viliyotolewa Alhamisi.
Katika kumi Bora imebaki vile vile bila mabadiliko huku Mabingwa wa Dunia, Ujerumani, wakiwa Nafasi ya 4.
Ivory Coast imeporomoka hadi Nafasi ya 9 kwa bara la afrika na sasa ipo Nafasi ya 28 Duniani ikifuatiwa na Cape Verde ambayo ipo Nafasi ya 33 baada ya kupanda Nafasi huku Algeria ikiwa Nafasi ya 36 baada ya kushuka Nafasi 8.
Timu nyingine katika ishirini bora ni Ubeligiji, Argentina, Uhispania, Ujerumani na Chile.

20 bora katika viwango vya Fifa hizi hapa;

1 Ubelgiji
2 Argentina
3 Uhispania
4 Ujerumani
5 Chile
6 Brazil
7 Portugal
8 Colombia
9 England
10 Austria
11 Uruguay
12 Switzerland
13 Ecuador
14 Uholanzi
15 Italy
16 Romania
17 Wales
18 Croatia
19 Hungary
20 Uturuki

No comments:

Post a Comment