Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana kwenye ukumbi
wa mikutano katika Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa
Ethiopia. Viongozi hao wanahudhuria mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi za
Afrika unaojadili masuala ya Usalama Barani Afrika ambapo Makamu wa Rais
anamuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
(Picha na OMR).
|
No comments:
Post a Comment