Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Rais Mugabe anasema JK
alimwambia kwamba wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania, Ulaya
walimwambia chama cha mapinduzi kimeongoza nchi kwa muda mrefu, sasa ni
wakati wa kuachia wengine watawale…’
Mugabe mbele ya umati wa viongozi
mbalimbali waliohudhuria kikao hicho akiwemo katibu mkuu wa umoja wa
mataifa Ban Ki Moon alisema ‘Hii ni demokrasia? na eti hii kauli imetokea Ulaya…. waambie wafunge midomo yao! |
No comments:
Post a Comment