Februari 5 ni siku ya
kumbukumbu kwa mastaa kadhaa wa soka duniani, kama hufahamu au
umezaliwa siku kama ya leo Februari 5, basi utakuwa unasherehekea siku
yako ya kuzaliwa na mastaa wa soka kama Neymar wa FC Barcelona, Ronaldo wa Real Madrid, Niyonzima wa Yanga na Carlos Tevez staa aliyetamba na vilabu vya Man United, Man City, Juventus na sasa Boca Juniors.
|
No comments:
Post a Comment