Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. |
Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari kwa kuapishwa. |
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akimwapisha Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga. |
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. |
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,majaliwa akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju wakati kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. |
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. |
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. |
Baadhi ya wageni wakifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO
|
No comments:
Post a Comment