Mbunge
wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe ametaja baraza
lake ambalo litakuwa na lengo la kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli
kutimiza kile alichoahidi kwa Watanzania. Baraza hilo ni kama ifuatavyo;
BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora. Mawaziri – Jaffar Michael Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Waziri – Ali Saleh Abdalla Naibu Waziri – Pauline Gekul Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Waziri – Esther Bulaya Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Waziri – Magdalena Sakaaya Naibu Waziri – Emmaculate Swari Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. Inj. James MbatiaNaibu Waziri Willy Kombucha Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri – Halima Mdee Naibu Waziri – David Silinde Wizara ya Nishati na Madini Waziri – John Mnyika Naibu Waziri – John Heche Wizara ya Katiba na Sheria Waziri – Tundu Lissu Naibu Waziri Abdalla Mtolela Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Waziri – Peter Msigwa Naibu Waziri – Riziki Shaghal Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Waziri – Juma Omari Naibu Waziri Mwita Waitara Wizara ya Mambo ya Ndani Waziri – Godbless Lema Naibu Waziri Masoud Abdalla Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Waziri – Wilfred Lwakatare Naibu Waziri – Salum Mgoso Wizara ya Maliasili na Utalii Waziri Esther Matiko Naibu Waziri– Cecilia Pareso Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Waziri Anthony Komu Naibu Waziri Cecil Mwambe Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi Waziri – Suzan Lyimo Naibu Waziri Dkt. Ali Suleiman Yusuph Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Waziri – Dkt. Godwin Mollel Naibu Waziri Zubeda Sakul Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo Waziri – Joseph Mbilinyi Naibu Waziri – Devotha Minja Wizara ya Maji na Umwagiliaji Waziri – Hamidu Hassan Naibu Waziri– Peter Lijualikali | |
No comments:
Post a Comment