Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola anatarajiwa kujiunga na Manchester City baada ya kumalizika kwa msimu wa 215/2016.
Katika
taarifa meyotolewa na Machester City imeeleza kuwa wanataraji kumchukua
kocha Guardiola baada ya msimu kumalizika na wataingia mkataba wa miaka
mitatu na Guardiola.
Taarifa
hiyo imeeleza kuwa mazungumzo na Guardiola yalianza mwaka 2012 na sasa
wamefanikiwa kumpata kocha huyo ambaye atachukua nafasi ya Pellegrini
ambaye mkataba wake unamalizika Juni,30 mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment