Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula kwenye jengo la Utalwala la Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. |
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Longido, Onesmo Ole- Nangole kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. |
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro , James Ole Millya (kulia)kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. Katikati ni Mbunge wa longido, Onesmo Ole Nangole. |
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua
Nassari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment