Majaji katika sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam Februari 4, 2016. |
Msajili wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Mhe. John Lugalema Kahyoza ndiye aliyekuwa MC wa sherehe hiyo. |
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga akisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma. |
Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Mhe. Charles Rwechungura akisoma risala ya wanasheria. |
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kwenye sherehe hizo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. |
No comments:
Post a Comment