Ligi Kuu Ubelgiji imeendelea tena leo Februari 6, 2016 kwa michezo kadhaa kupigwa, miongoni mwa michezo iliyochezwa leo ni mchezo kati ya Mouscron FC dhidi ya klabu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, mchezo huu ulikuwa na mvuto kwa Tanzania zaidi kwani ndio mchezo wa kwanza wa Mbwana Samatta kucheza toka amejiunga na klabu hiyo. |
No comments:
Post a Comment