Katika usiku wa Februari 5, 2016 Christian Bella mkali wa masauti akiwa pamoja na Jimmy Chansa walifanya bonge moja la show katika ukumbi wa Rhapsody uliyopo Viva Tower, show ya Christian Bella na Jimmy Chansa ilipewa jina ya The First Friday
wakiwa na maana kuwa ni onesho la Ijumaa ya kwanza ndani ya mwezi
Februari. CHANZO: millardayo.com |
No comments:
Post a Comment