Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini
Tanzania Alexander A. Ranikh aliyefika jana kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Urusi Nchini
Tanzania Alexander A.Ranikh baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar akiwa amemaliza muda wake wa kazi Nchini. (Picha zote na
Ikulu) |
No comments:
Post a Comment