Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Saku, iliyopo Chamazi Wilaya ya Temeke,
Dar es Salaam, wakisoma chini ya mwembe shuleni hapo kufuatia uhaba wa
vyumba vya madarasa ambapo shule inakadiriwa kuwa na wanafunzi zaidi ya
2500 huku wakiwa na vyumba saba tu vya madarasa.
Mwalimu wa shule ya Awali, akiwa chini ya mti amezungukwa na watoto wake wakati wa kupitia kazi zao za darasani.
Baadhi
ya walimu wa shule ya Msingi Saku, iliyopo Chamazi, Wilaya ya Temeke
jijini Dar es Salaam wakifanya kazi zao chini ya miti ambako ndiko
wamegeuza ofisi kutokana na uhaba wa ofisi na vyumba vya madarasa
shuleni hapo.
No comments:
Post a Comment