MSANII
nguli wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond' na rafiki yake wa kike
mganda Zari Hassan wamezuri makumbusho ya taifa ya mauaji ya kimbarti
nchini Rwanda.
Diamond yupo mjini Kigali Rwanda kwaajili ya show kadhaa za mwaka mpya ikiwa ni mwaliko maalum wa East Africa Promotion
Wawili
hao wakiwa katika jumba hilo waliweza kujionea pichja mbalimbali za
mauaji hayo jambo ambalo lilipelekea Zari kububujikwa na machozi
kutokana na picha hizo na maelezo ya mauaji ya 1994 ambayo yaligharimu
uahai wa watu zaidi ya 500,000.
“Everyone has a breaking point…. I was so touched,” aliandika mrembo
huyo kwenye picha inayomuonesha akilia. “Women and children were raped
then killed…. sad story. God bless you more Rwanda,” aliandika kwenye
picha nyingine.
Diamond
alitumbuiza katika part ya Vibe Party katika viwanja vya Expo katika
mji wa Gikondo na pia alitaraji kutumbuiza katika uwanja wa Amahoro.
|
No comments:
Post a Comment