Kiwanja
kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kimezinduliwa rasmi kwenye mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam.
Kiwanja
hiki ni cha Kisasa sana kama utakavyoona taswira zake zikionyesha
maeneo mbalimbali ndani ya klabu hiyo ambayo iko maeneo ya Ukonga
Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahita
mita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, katika siku ya mkesha wa
Krismas burudani kibao zimeandaliwa na kiwanja hicho kimekamilika kila
idara ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali
za ulaya, muziki wa kisasa kama vile Bongofleva, Zuku, Bolingo na
miziki mingine mingi ambapo pia vyakula mbalimbali vitapatikana. |
No comments:
Post a Comment