DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, January 26, 2015

RAIS DR. SHEIN AWASILI PEMBA KUZINDUA WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM

Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 38 ya CCM utakaofanyika leo kwenye uwanja wa Gombani mijni Chakechake Pemba ambapo Rais Dr. Shein  atakuwa mgeni rasmi, Sherehe za Kilele cha miaka 38 ya CCM kitaifa zinatarajiwa kufanyika Songea mkoani Ruvuma Februari 1 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chakechake Pemba. 
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mohamed Abood  Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed  Aboud Mohamed.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akiongozana na viongozi mbalimbali kwenda  kusalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Pemba.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi uwanjani hapo kutoka kushoto ni Masauni Yusuf Masauni Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni na Balozi Ali Karume.
Awali Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM naye aliwasili uwanjani hapo na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai anayeshuka kwenye ndege ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo.
Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo.
Jengo la uwanja wa ndege wa Pemba.(Picha na kikosikazi cha Fullshangwe Chake Chake - Pemba)

No comments:

Post a Comment