Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhani Dau
akifafanua jambo kwa wageni waliohudhuria hafla fupi ya kusaini mkataba
kati ya shirika hilo na timu ya mpira wa miguu ya Real Madrid wa
kuanzishwa kwa kituo cha michezo (sports academy) katika eneo la
Kigamboni jijini Dar es Salaam. Dk. Dau alisema katika uendeshaji wa
kituo hicho, Real Madrid itakua na dhamana ya kushughulikia masuala yote
ya ufundi, kuwatambua wachezaji, chakula, wataalamu wa saikolojia na
wataalamu wa viungo na kwamba wajibu wa shirika lake utakuwa kwenye
kujenga tu. |
No comments:
Post a Comment