DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, January 26, 2015

RICHARD NDASA: MWENYEKITI MPYA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI

Mwenyekiti Mteule wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Richard Ndassa (Mb) akiwashukuru wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo baada ya Mwenyekiti wa awali Mhe. Victor Mwambalaswa kujiuzulu kufuatia maazimio ya Bunge kuhusu sakata la Account ya Tegeta ya Escrow. Mhe. Ndasa alimshinda mpinzani wake Mhe. Jerome Bwanausi (Mb) katika uchaguzi huo.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Jerome Bwanausi akitoa neno la shukrani mbele ya wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuchaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo.

No comments:

Post a Comment