DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, January 02, 2015

JK ASHEREHEKEA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa
Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe
wa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua
katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze. (Picha zote na IKULU).

No comments:

Post a Comment