DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, January 26, 2015

MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI NCHINI WAKUTANA DODOMA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa polisi jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa wakuu hao unaoendelea Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment