Mkazi
wa jijini Dar es Salaam akiangalia viwango vya kubadilisha fedha katika moja
ya maduka ya jijini jiji hilo juzi ambavyo vilionesha dola kupanda
hadi kufikia shilingi 1,720 ukilinganisha na 1,570 ya mwezi Januari 2014. Jana dola moja imeuzwa kwa shilingi 1,730 kwa baadhi ya maduka.
|
No comments:
Post a Comment