DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, January 02, 2015

TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTUA NCHINI RWANDA: ILIKUWA NI FULL SHANGWE

Staa Nguli wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili nchini Rwanda juzi.
Diamond Platnumz (katikati) akiwa amemshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Rwanda.
Diamond na The Boss Lady wakifanya yao.
Wanahabari nao wakifanya yawapasayo.
Diamond (kulia) akiongea na wanahabari baada ya kuwasili nchini Rwanda.

No comments:

Post a Comment