Naibu
Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah
Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi jijini Dar Es Salaam kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lililofanyika Januari 24, 2015. |
No comments:
Post a Comment