Mwanaume tajiri kuliko wote Afrika, Aliko Dangote anaziandika headlines zake kwenye kurasa za biashara na uwekezaji barani Afrika. Baada ya kuweka wazi mipango alionayo juu ya Tanzania time hii ameweka wazi mipango mingine alionayo juu ya nchi zingine za Afrika.
Safari hii ni zamu ya Zimbabwe kukamata fursa zinazoletwa na Dangote nchini kwao… Tajiri Dangote ameweka wazi mipango yake ya kuwekeza dola million 400 (Bilioni 800 za Tz) kwenye ujenzi wa kiwanda kikubwa cha simenti nchini humo.
|
No comments:
Post a Comment