Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, David Beckham usiku wa Septemba 1, 2015 amepewa Tuzo ya Heshima. Licha ya kuwa amestaafu bado mchango na uwezo wake aliyo uonyesha katika soka unatambulika na kuheshimika.
Hizi ni picha za tukio lenyewe jana.
|
No comments:
Post a Comment