Yamoto Band kwenye headlines za burudani, baada ya kuachia video ya wimbo wao ‘Cheza kwa madoido’ sasa ni muda wa kuutambulisha wimbo huo kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa!
Cheza kwa madoido inatambulishwa rasmi leo saa kumi na mbili jioni kama #SpankingNew kwenye MTV Base Africa kuwapa fursa watazamaji wengine Africa kuitazama video hiyo na pia kupata radha nyingine ya muziki kutoka Tanzania.
|
No comments:
Post a Comment