Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa, jana Septemba 5, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. |
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipanda jukwaani kwa kukimbia mara baada ya kutua na Chopa yake, jana Septemba 5, 2015. |
Meza Kuu. |
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, jana Septemba 5, 2015. |
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Tabora. |
Umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti tofauti kwa mgombea wao! |
No comments:
Post a Comment