DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Wednesday, September 02, 2015

JK AFANYA MAZUNGUMZO YA FARAGHA NA RAIS KABILA WA DRC DAR ES SALAAM



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam jana mchana na kisha kurejea Kongo. Picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment