DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, September 01, 2015

JK ASHIRIKI MAZISHI YA KIMBAU MAFIA LEO HII

Baadhi ya wanajeshi wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Kanali Mstaafu Ayub Kimbau aliyewahi kuwa mbunge wa Mafia wakati wa Mazishi yake huko Kilwa leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau huko Mafia leo jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo na watoto wa marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau wakiomba dua wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa Zamani wa Mafia yaliyofanyika huko Mafia leo jioni.
Rais Dkt .Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma (aliyeketi na mke wa Marehemu kushoto) wakimfariji mke wa Marehemu Kanali Mstaafu Nyumbani Kwake Mafia wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa zamani wa Mafia leo jioni. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment