Wenger amemshauri Henry ambaye kwa sasa anaifundisha timu ya Arsenal chini ya umri wa miaka 18 kuwa, kama kweli anataka kupata mafanikio katika ukocha inabidi apate ushauri wa kisaikolojia katika akili yake. Henry anafundisha kikosi hicho cha vijana huku akipata mafunzo ya ukocha. |
No comments:
Post a Comment